Ufafanuzi wa wezekana katika Kiswahili

wezekana

kitenzi sielekezi

  • 1

    weza kufanyika hicho kinachotajwa.

    ‘Ujenzi wa nyumba unawezekana kukamilika mwezi ujao’

Matamshi

wezekana

/wɛzɛkana/