Ufafanuzi wa wiana katika Kiswahili

wiana

kitenzi sielekezi

  • 1

    daiana kwa watu waliokopeshana au kupeana vitu.

Matamshi

wiana

/wijana/