Ufafanuzi wa wiketi katika Kiswahili

wiketi

nomino

  • 1

    kilango cha vijiti vitatu kinacholindwa na mshikabeti katika kriketi.

Asili

Kng

Matamshi

wiketi

/wikɛti/