Ufafanuzi wa wilaya katika Kiswahili

wilaya

nominoPlural wilaya

  • 1

    sehemu ndogo katika jimbo au mkoa lakini kubwa kuliko tarafa.

    mudiria

Asili

Kar

Matamshi

wilaya

/wilaya/