Ufafanuzi wa wima katika Kiswahili

wima

kielezi

  • 1

    kwa kusimama au kunyooka kwenda juu.

    ‘Madafu tuliyanywa wima kwa sababu tulikuwa na haraka’
    kititi

Matamshi

wima

/wima/