Ufafanuzi wa wimbo katika Kiswahili

wimbo

nominoPlural nyimbo

  • 1

    maneno yanayotamkwa kwa sauti ya muziki.

    methali ‘Wimbo mui hauongolewi mwana’
    muziki

Matamshi

wimbo

/wimbÉ”/