Ufafanuzi wa wimbombo katika Kiswahili

wimbombo

nomino

  • 1

    kipande cha mti kilichotobolewa tundu na kuwekwa chini, hutumika na ulindi ili kupekechea moto.

Matamshi

wimbombo

/wimbɔmbɔ/