Ufafanuzi wa windo katika Kiswahili

windo

nominoPlural mawindo

  • 1

    kiumbe k.v. mnyama, ndege, n.k. anayewindwa na kiumbe mwingine.

Matamshi

windo

/windɔ/