Ufafanuzi msingi wa wishwa katika Kiswahili

: wishwa1wishwa2

wishwa1

nominoPlural wishwa

  • 1

    wenzo wenye umbo la gurudumu.

Matamshi

wishwa

/wi∫wa/

Ufafanuzi msingi wa wishwa katika Kiswahili

: wishwa1wishwa2

wishwa2 , ushwa

nominoPlural wishwa

  • 1

    pumba au makapi yatokayo katika nafaka iliyokobolewa.

    mapepeta, pumba

Asili

Kar

Matamshi

wishwa

/wi∫wa/