Ufafanuzi msingi wa witiri katika Kiswahili

: witiri1Witiri2

witiri1

nominoPlural witiri

  • 1

    idadi isiyogawanyika kwa mbili sawasawa.

Asili

Kar

Matamshi

witiri

/witiri/

Ufafanuzi msingi wa witiri katika Kiswahili

: witiri1Witiri2

Witiri2 , Witri

nominoPlural Witiri

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala ya suna wasaliyo Waislamu kwa idadi ya witiri, agh. baada ya Isha.

Asili

Kar

Matamshi

Witiri

/witiri/