Ufafanuzi wa wizara katika Kiswahili

wizara

nominoPlural wizara

  • 1

    idara kuu ya serikali inayosimamia na kushughulika na mambo maalumu kwa taifa au nchi na kuongozwa na waziri.

    ‘Wizara ya Kilimo’

Asili

Kar

Matamshi

wizara

/wizara/