Ufafanuzi wa wodi katika Kiswahili

wodi

nomino

  • 1

    sehemu ya jengo la hospitali wanapolazwa wagonjwa.

Asili

Kng

Matamshi

wodi

/wɔdi/