Ufafanuzi wa wokovu katika Kiswahili

wokovu, uokovu

nominoPlural wokovu

  • 1

    Kidini
    hali ya kusalimika na adhabu ya Mwenyezi Mungu, kama wanavyoamini Wakristo.

  • 2

    hali ya kuokoka.

Matamshi

wokovu

/wɔkɔvu/