Ufafanuzi wa wororo katika Kiswahili

wororo

nominoPlural wororo

  • 1

    hali ya k.v. ngozi kuteleza na kutokuwa na mikwaruzo.

Matamshi

wororo

/wɔrɔrɔ/