Ufafanuzi wa yaani katika Kiswahili

yaani

kiunganishi

  • 1

    tamko linalotumika kutolea mfano au kuzidi kufahamisha jambo; kwa maana kwamba.

    ‘Mtu mwenyewe ni mrefu sana, yaani anafika futi sita au zaidi’

Asili

Kar

Matamshi

yaani

/ja:ni/