Ufafanuzi wa yabisi katika Kiswahili

yabisi

kivumishi

  • 1

    -enye kukauka; -enye kuwa gumu.

    kavu

Asili

Kar

Matamshi

yabisi

/jabisi/