Ufafanuzi wa yabisika katika Kiswahili

yabisika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa kavu; kuwa gumu.

Matamshi

yabisika

/jabisika/