Ufafanuzi msingi wa yahe katika Kiswahili

: yahe1yahe2

yahe1 , akhi

nomino

  • 1

    neno linalotumika kumwitia mtu ambaye ni rafiki.

    mwenzi

Asili

Kar

Ufafanuzi msingi wa yahe katika Kiswahili

: yahe1yahe2

yahe2

nomino

  • 1

    mtu asiyekuwa na kipato kikubwa.

    kabwela

Asili

Kar

Matamshi

yahe

/jahÉ›/