Ufafanuzi wa yakuti katika Kiswahili

yakuti

nominoPlural yakuti

  • 1

    kito cha thamani chenye rangi ya zambarau iliyokaribia kuwa kama rangi ya waridi iliyofifia.

Asili

Kar

Matamshi

yakuti

/jakuti/