Ufafanuzi wa yaliyomo katika Kiswahili

yaliyomo

nominoPlural yaliyomo

  • 1

    orodha ya vichwa vya mambo yaliyozungumzwa au yaliyoandikwa katika kitabu na ambayo huweko katika kurasa za mwanzomwanzo.

    faharasa

Matamshi

yaliyomo

/jalijɔmɔ/