Ufafanuzi wa yatima katika Kiswahili

yatima

nominoPlural mayatima

  • 1

    mtoto aliyefiwa na wazazi wake wote wawili au mmojawapo wa wazazi hao.

    mwanamkiwa, kiokote, makiwa

Asili

Kar

Matamshi

yatima

/jatima/