Ufafanuzi wa yaya katika Kiswahili

yaya

nominoPlural mayaya

  • 1

    mwanamke anayefanya kazi ya kulea mtoto au watoto, agh. nyumbani.

Asili

Khi

Matamshi

yaya

/jaja/