Ufafanuzi wa yeyusha katika Kiswahili

yeyusha

kitenzi elekezi

  • 1

    lainisha kitu kigumu k.v. barafu au lami kwa joto mpaka kiwe majimaji.

    meng’enya

Matamshi

yeyusha

/jɛju∫a/