Ufafanuzi wa yombiyombi katika Kiswahili

yombiyombi

nominoPlural yombiyombi

  • 1

    aina ya ndege mkubwa mwenye mdomo mpana na kichwa cheusi na manyoya mekundu kifuani.

Matamshi

yombiyombi

/jɔmbijɔmbi/