Ufafanuzi wa yowe katika Kiswahili

yowe

nominoPlural mayowe

 • 1

  kilio cha hali ya juu sana, hasa kwa kuomba msaada.

  ‘Piga yowe’
  nduru

 • 2

  ‘Acha kupiga mayowe’
  unyende, ukelele, unyange, kwenzi, siahi

Matamshi

yowe

/jɔwɛ/