Ufafanuzi wa yoyoma katika Kiswahili

yoyoma

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda bila ya mpango; enda popote bila kuaga.

    tokomea, totoma

Matamshi

yoyoma

/jɔjɔma/