Ufafanuzi wa yule katika Kiswahili

yule

kiwakilishi

  • 1

    Sarufi
    kiwakilishi kionyeshi cha mbali.

  • 2

    neno linalotumiwa kutaja k.v. mtu, mnyama, mdudu, n.k. aliye mbali na mzungumzaji na msikilizaji.

    ‘Mtoto yule’

Matamshi

yule

/julɛ/