Ufafanuzi wa zaa katika Kiswahili

zaa

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    toa mtoto toka tumboni.

    kopoa

  • 2

    toa matunda kama ifanyavyo mimea.

    aua

Matamshi

zaa

/za:/