Ufafanuzi wa zaana katika Kiswahili

zaana

kitenzi sielekezi

  • 1

    ongezeka kwa idadi ya viumbe.

Matamshi

zaana

/za:na/