Ufafanuzi wa zabadi katika Kiswahili

zabadi

nomino

  • 1

    manukato yanayotokana na mnyama aitwaye ngawa.

Asili

Kar

Matamshi

zabadi

/zabadi/