Ufafanuzi msingi wa zabuni katika Kiswahili

: zabuni1zabuni2

zabuni1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  uza kwa kushindanisha bei.

 • 2

  tia thamani.

Asili

Kar

Matamshi

zabuni

/zabuni/

Ufafanuzi msingi wa zabuni katika Kiswahili

: zabuni1zabuni2

zabuni2

nominoPlural zabuni

 • 1

  utaratibu wa kuuza au kununua vitu, bidhaa au huduma kwa muda maalumu.

  tenda

Asili

Kar

Matamshi

zabuni

/zabuni/