Ufafanuzi wa Zaburi katika Kiswahili

Zaburi

nominoPlural Zaburi

Kidini
 • 1

  Kidini
  nyimbo za Biblia katika Agano la Kale.

 • 2

  Kidini
  kitabu kimojawapo cha Agano la Kale.

 • 3

  Kidini
  kitabu ambacho Waislamu wanaamini kwamba Mwenyezi Mungu alimteremshia Mtume Daudi.

Asili

Kar

Matamshi

Zaburi

/zaburi/