Ufafanuzi wa zahama katika Kiswahili

zahama

nominoPlural zahama

  • 1

    ghasia kubwa; fujo kubwa.

    vurugu

Asili

Kar

Matamshi

zahama

/zahama/