Ufafanuzi wa zahanati katika Kiswahili

zahanati

nominoPlural zahanati

  • 1

    mahali pa kutolea matibabu ya magonjwa madogo madogo; hospitali ndogo.

    dispensari

Asili

Kar

Matamshi

zahanati

/zahanati/