Ufafanuzi msingi wa zaini katika Kiswahili

: zaini1zaini2

zaini1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    shawishi ili kutenda jambo ovu.

    ‘Shetani alimzaini’

Asili

Kar

Matamshi

zaini

/zaIni/

Ufafanuzi msingi wa zaini katika Kiswahili

: zaini1zaini2

zaini2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanya iwe ya kupendeza; fanya iwe -zuri.

Asili

Kar

Matamshi

zaini

/zaIni/