nominoPlural zambarau
- 1
tunda dogo linalofanana na fuu lakini lenye majimaji na lenye ganda la kijani liwapo bichi na rangi nyeusinyeusi liivapo.
nominoPlural zambarau
- 1
mchanganyiko wa rangi ya buluu na nyekundu.