Ufafanuzi wa zamda katika Kiswahili

zamda

nominoPlural zamda

  • 1

    dawa nyeupe iliyofanana na shabu au chumvi ya mawe inayotumiwa kutibia maradhi ya tumbo.

Asili

Kar

Matamshi

zamda

/zamda/