Ufafanuzi wa zani katika Kiswahili

zani

nominoPlural zani

  • 1

    jambo au kitendo kinacholeta hasara au madhara.

    baa, janga

Matamshi

zani

/zani/