Ufafanuzi wa zari katika Kiswahili

zari

nominoPlural zari

  • 1

    nyuzi nyembamba zinazotiwa rangi, agh. ya dhahabu, zinazotumiwa kudarizia mapambo katika nguo.

Asili

Kaj

Matamshi

zari

/zari/