Ufafanuzi wa zege katika Kiswahili

zege

nominoPlural zege

  • 1

    mchanganyiko wa kokoto, mchanga, saruji na maji unaotumika katika ujenzi.

Matamshi

zege

/zɛgɛ/