Ufafanuzi wa zeituni katika Kiswahili

zeituni

nomino

  • 1

    tunda la mzeituni linalofanana na zabibu.

Matamshi

zeituni

/z…õjituni/