Ufafanuzi wa zembea katika Kiswahili

zembea

kitenzi elekezi~ana, ~ewa, ~ka, ~lea, ~sha, ~wa

  • 1

    fanya, agh. kazi, kwa uvivu au ulegevu.

Matamshi

zembea

/zɛmbɛja/