Ufafanuzi wa zeruzeru katika Kiswahili

zeruzeru

nominoPlural mazeruzeru

  • 1

    mtu ambaye nywele na ngozi yake imekosa rangi yake kamili na badala yake kuwa nyeupe sana na ambaye macho yake hayawezi kuvumilia mwangaza mwingi.

    albino

Matamshi

zeruzeru

/zɛruzɛru/