Ufafanuzi wa zeze katika Kiswahili

zeze

nominoPlural zeze

  • 1

    ala ya muziki yenye tungi la kitoma au ubao ulio bapa na nyuzi kama za gitaa ambayo hupigwa kwa kuchezesha nyuzi zake.

Matamshi

zeze

/zɛzɛ/