Ufafanuzi wa ziada katika Kiswahili

ziada

nominoPlural ziada

 • 1

  kitu kilichoongezwa.

  ongezeko, nyongeza, kivo

 • 2

  kiasi kinachobakia baada ya matumizi.

  ‘Watu wote wamekwisha kugawanyiwa, hii ninayokupa ni ziada’

 • 3

  faida

Asili

Kar

Matamshi

ziada

/zijada/