Ufafanuzi msingi wa ziara katika Kiswahili

: ziara1ziara2ziara3

ziara1

nominoPlural ziara, Plural maziara

  • 1

    tendo la kwenda mahali fulani kwa sababu maalumu k.v. kutembelea au kufanya mazungumzo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

ziara

/zijara/

Ufafanuzi msingi wa ziara katika Kiswahili

: ziara1ziara2ziara3

ziara2

nominoPlural ziara, Plural maziara

Kidini
  • 1

    Kidini
    tendo la kwenda mahali patakatifu kufanya kisomo au tendo maalumu la kidini.

Asili

Kar

Matamshi

ziara

/zijara/

Ufafanuzi msingi wa ziara katika Kiswahili

: ziara1ziara2ziara3

ziara3

nominoPlural ziara, Plural maziara

Kidini

Asili

Kar

Matamshi

ziara

/zijara/