Ufafanuzi wa ziba katika Kiswahili
ziba
kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa
- 1
tia kitu mahali penye ufa, pengo au tundu ili pashikamane.
- 2
weka au tandaza kitu juu ya kitu kingine ili kisionekane.
methali ‘Usipoziba ufa utajenga ukuta’siriba, bamba