Ufafanuzi wa zidiwa katika Kiswahili

zidiwa

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na kazi au shughuli nyingi kupita kiasi.

  • 2

    (kwa mgonjwa) kuwa katika hali mbaya zaidi.

  • 3

    (katika michezo au pambano) shindwa.

Asili

Kar

Matamshi

zidiwa

/zidiwa/