Ufafanuzi wa zidua katika Kiswahili

zidua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    ng’oa kitu kwa kutumia chombo k.v. kung’oa msumari kwa kutumia koleo au nyundo.

    ng’oa

Matamshi

zidua

/ziduwa/