Ufafanuzi msingi wa zigizaga katika Kiswahili

: zigizaga1zigizaga2

zigizaga1

nominoPlural zigizaga

  • 1

    mshono wenye umbo la msumeno.

Asili

Kng

Matamshi

zigizaga

/zigizaga/

Ufafanuzi msingi wa zigizaga katika Kiswahili

: zigizaga1zigizaga2

zigizaga2

kielezi

  • 1

    bila ya mpango unaotakiwa.

    ovyoovyo

Matamshi

zigizaga

/zigizaga/